Mara nyingi, maimamu, mabaraza, na viongozi wa kidini huwaita Waislamu nchini Uholanzi kupiga kura kwa pamoja na kushiriki katika mchezo wa kisiasa wa mfumo wa kisekula. Mfumo ambao, kwa asili yake na maudhui yake, unapinga Uislamu na kuutenga, na kujaribu kuuzuia katika msikiti au sebule.