Country 1853 articles

Sudan

Hauwezi kukata mizizi ya ukoloni wa Magharibi kutoka nchini mwetu isipokuwa Khilafah Rashidah kwa msingi wa Utume
01 Top Story

Hauwezi kukata mizizi ya ukoloni wa Magharibi kutoka nchini mwetu isipokuwa Khilafah Rashidah kwa msingi wa Utume

Kwa mwaliko kutoka kwa Balozi wa Uingereza, Kumar Iyer, pamoja na Ujerumani, Ireland, Uholanzi na Norway, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lilifanya kikao siku ya Ijumaa, 14/11/2025, kuhusu ukiukwaji katika mji wa Al-Fashir. Baraza hilo lilikubali kwa kauli moja azimio la kuidhinisha ujumbe huru wa uchunguzi wa ukweli, ambao uliundwa na Baraza hilo tarehe 11/10/2023, kuchunguza ukiukwaji uliofanywa katika mji huo, ambapo Baraza liliamuru utambuzi wa watu wote waliohusika, ili kusaidia kuwafikisha mbele ya sheria. Kuendelea na msimamo wake wa kukataa ujumbe huu tangu kuundwa kwake, Waziri wa Sheria Abdullah Darf alitangaza,

02
Jimbo la Sudan: Wito kwa watu wa Sudan kufeli mpango wa kuitenga Darfur!
November 17, 2025 video

Jimbo la Sudan: Wito kwa watu wa Sudan kufeli mpango wa kuitenga Darfur!

03
Neno la Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan katika Mkutano na Waandishi wa Habari wenye kichwa: (Usitishaji wa Mapigano wa Nchi Nne na Hatari ya Mazungumzo Kulingana na Ustaarabu wa Magharibi)
November 15, 2025

04
Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan unafanya ziara mbili kwa wanasiasa huko Al-Abyad

05
Jimbo la Sudan: Mhadhara wa Kisiasa "Wajibu wa Umoja wa Umma na Dola!"
November 13, 2025 video

Jimbo la Sudan: Mhadhara wa Kisiasa "Wajibu wa Umoja wa Umma na Dola!"

06
Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan watembelea idadi ya mawakili huko Al-Ubayyid
November 12, 2025

07
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari

08
Ramani ya Njia ya Serikali, Taarifa ya Nchi Nne, na Muendelezo wa Vita Hivi Vyote Vinahudumia Mpango wa Marekani wa Kuikata Darfur
November 10, 2025

Ramani ya Njia ya Serikali, Taarifa ya Nchi Nne, na Muendelezo wa Vita Hivi Vyote Vinahudumia Mpango wa Marekani wa Kuikata Darfur

09
Jibu kwa uzushi wa mwandishi Ibrahim Habani dhidi ya Ukhalifa
November 08, 2025

Jibu kwa uzushi wa mwandishi Ibrahim Habani dhidi ya Ukhalifa

10
Amerika Yenye Nia ya Kuikata Darfur Inazua Suala la Abyei na Inatishia!
November 06, 2025

Amerika Yenye Nia ya Kuikata Darfur Inazua Suala la Abyei na Inatishia!

11
Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Wakutana na Idadi ya Viongozi wa Mji wa Al-Abyad
November 04, 2025

1 / 186