September 26, 2025
Mikutano ya Kutatua Suala la Ardhi Takatifu Inafanyika Huku Damu ya Watu Wake Ikisafishwa
Moto wa makombora unachoma miili ya watoto huko Gaza, na njaa inakula mabaki yao, vifaru vinakandamiza maisha na nyumba za wasioyumbayumba, na ndege zinaangusha moto wake juu ya hospitali na mahema ya wakimbizi, na sambamba na uhalifu huu, jana usiku 2025/9/22 mkutano ulifanyika New York ulioitishwa na Ufaransa na Saudi Arabia kutaka kutambuliwa kwa "Dola la Palestina".