September 15, 2025
video
Televisheni ya Al-Waqiyah: Tafsiri ya Aya (142-143) za Surah An-Nisaa
Hakika wanafiki wanamdanganya Mwenyezi Mungu, naye atawadanganya. Na wanaposimama kusali, husimama kwa uvivu, wakionyesha watu, wala hawamdhukuru Mwenyezi Mungu ila kidogo tu. (142) Wanayumbayumba baina ya hayo, wala hawamo upande huu wala upande huu. Na ambaye Mwenyezi Mungu amemwacha apotee, basi hutampatia njia. (143)